Envaya
/Brightlight/post/103
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
shule au mama ntilie
(Bila tafsiri)
Hariri
Selekari mpo wapi watoto wana wekwa katika mazingira hatarishi. – Shule gani hii !! tena kama hizi zifutwe kabisa na alie toa kibali sijui hakuiona au amevutiwa na jina tu.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Walimu wakiwa na watoto wa mtaani wakati wa chakula cha mchana kituoni Brightlight Organization.
(Bila tafsiri)
Hariri