Base ((unknown language)) | English |
---|---|
Fundi mchundo wa Brightlight Organization ndugu Lameck akielezea jinsi Brightlight Organization ilivyosaidia vijana kuwapa mafunzo ya bure na kuachana na utumiaji wa madawa ya kulevya mkoani Geita. |
(Not translated) |