Base (Swahili) | English |
---|---|
Ni kwa mara nyingine tena shirika la Elimu Asilia limeendelea na tafiti zake katika Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro kwa makabila ya Wandamba na Wambunga. kikubwa kinachoangaliwa ni maadili katika makabila yote hayo tunayofanyia utafiti, ili kuona je, hapo zamani mababu na bibi zetu waliishi vipi. Hususan katika Ulinzi, Tambiko, Tiba, Vyakula, Ndoa, Jando na Unyago n.k. |
It has once again developed an organization of Indigenous Education and its studies in Kilombero District in Morogoro Region Wandamba tribes and cyclone. What it ignores is the large values in all ethnic groups that we studied, to see how the past of our grandparents how they lived. In particular the Defence, Ritual, Medicine, Food, marriage, initiation rites and masks etc. |
Translation History
|