Fungua

/ASILIA/post/4644: Kiswahili

AsiliKiswahili
Ni kwa mara nyingine tena shirika la Elimu Asilia limeendelea na tafiti zake katika Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro kwa makabila ya Wandamba na Wambunga. – kikubwa kinachoangaliwa ni maadili katika makabila yote hayo tunayofanyia utafiti, – ili kuona je, hapo zamani mababu na bibi zetu waliishi vipi. – Hususan katika Ulinzi, Tambiko, Tiba, Vyakula, Ndoa, Jando na Unyago n.k.(Bila tafsiri)Hariri