Base (Swahili) |
English |
1.Katika kujenga uwezo wa wanachama ili kuboresha maisha yao. 2. Kuendeleza ubia/urafiki na vikundi vya watu wenye walemavu ambavyo vinadharauliwa katika jamii 3. kuwajenga wanachama uwezo wa kujitangaza na kuwakilisha matakwa yao kwa kupitia njia za ushawishi hasa katika shughuli za upendeleo wao. 4. Kwa kuwajengea uwezo wa stadi zao za kimaendeleo ili kujitegemea. 5. Kutoa mafunzo kwa wanachama kujitengenezea au kuanzia biashara ndogondogo na kutoa mtaji wa kuanzia kuendeleza hiyo miradi. 6. Kutoa habari juu ya msaada, afya njema, UKIMWI na V.V.U
|
|