Base (Swahili) |
English |

Waelimishaji rika 20 wakiwa darasani wakipata mafunzo namna ya kuhamasisha jamii kupima virusi vya ukimwi. Picha namba 1,2,3,4 mafunzo haya yalikuwa yanatolewa na Shirika letu la ARV ESUPATI GROUP na mrandi ulifadhiliwa na shirika la Foundation for civil society, tunategemea kufanya shughuli hizi katika kata za Unga limited na sokoni one mradi huu tunategemea kuwafikia zaidi ya walengwa 1000 ifikapo feb 2011
|

,, 20 peer educators were trained in the classroom how to mobilize community HIV testing. File numbers 1,2,3,4 this study was provided by our organization and ARV ESUPATI GROUP Randi was funded by the Foundation for the organization of civil society, we expect to do these activities in the county of flour and limited market, we expect to see this project to reach more beneficiaries 1000 at Feb 2011
|