Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/CHILDTZ/post/108286
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Centre for Children and young people Development linaungana na dunia pamoja na watanzania wote kusheherekea siku ya wanawake duniani March 2012. Siku hii pekee inatupa nafasi ya kutambua mchango wa wanawake katika harakati ya kumkomboa mwanamke. Centre for Children a Young people and Adult Development linapenda kuadhimisha siku hii kwa kuikumbusha jamii ushiriki wa pamoja kwa kupinga unyanyasaji na ukatili kwa wanawake na watoto ambayo huadhimishwa kila mwaka mwezi...
(Not translated)
Hindura