Envaya

/CHACODE/home: Kiswahili: WI0004006A41A4E000025381:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili

CHACODE ni asasi ya kuwajengea uwezo jamii fursa ya kujitambua uwezo katika masuala ya kiuchumi,Kijamii na Kiutamaduni kwa kutumia rasilimali zilizopo katika misingi ya utawala bora.

Pia kuhakikisha jamii inapata taarifa za maendeleo yake kwa uwazi ili kuchochea maendeleo na uwajibikaji katika jamii,kila mmoja akitimiza wajibu wake maendeleo.

Asasi inakusudia kuwa kiungo kizuri kati ya wadau wa maendeleo na wananchi

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe