About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/CHACODE/post/106965
: English
Base
English
ASASI ya CHACODE iliweza kufanya utafiti katika masuala ya kuhifadhi mazingira na mambo ya kale.Jambo hili limetokana na tabia ya mapokeo waliokuwa wakiitumia wazee katika kuridhishana na kupeana taarifa na kumbukumbu mbalimbali za matukio ya kihistoria,mila na desturi utaratibu ambao kwa sasa umeanza kufutika kutokana na kukua kwa teknolojia ya mawasiliano na kumbukumbu. – Asasi imechukua jukumu la kufanya utafiti mdogo juu ya wazee wa kale walivyoweza kuwa na uwezo wa kufanya...
(Not translated)
Edit