Base (Swahili) | English |
---|---|
Ni jambo linaleta faraja kubwa kwa kiongozi kwenye busara kuwa karibu na wananchi wake kujua changamoto zinazowakabiri,kuzungumza kulingana na mazingira wanayoishi,kwani zipo semi mbalimbali zinenazwo"kama hatutaweza kukaa karibu nao tukazungumza nayo,na wao kuwa karibuni nasi na kuzungumza nasi,hata nasi kamwe tuwezi tukazungumza tukaelewana. Kiongozi wa kweli kuonyesha mfano,kwa kuzungumza na watu wake bila ya kujali dini,rangi au utaifa wake,hiyo ndio chimbuko la maendeleo ya kweli kwa kuifanya dunia kuwa mahali pa amani,pasipo na mfarakano na masengenyo. |
It brings great comfort to guide the wise to be closer to its citizens to know the challenges zinazowakabiri, speaking according to the environment they live in, because there is nothing different zinenazwo "if we can stay close to them we talked with them, and they will be soon with us and talk to us, even us never We talked and we tuwezi understanding. True leader to show the example, by talking to people regardless of religion, race or his nationality, that is the source of real progress in making the world a place of peace, without the confusion and cheating. |
Translation History
|