Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/CHACODE/post/104249
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Asasi ya CHACODE katika mwaka mpya wa 2012 imeweka mpango mkakati wa kuhakikisha ya kuwa inaendesha sensa ya wazee na watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi ikiwa ni moja ya hatua ya kupata taarifa sahihi ili kuangalia ukubwa wa matatizo yako.pia kwa upande wa wazee ili kujua idadi ya wazee ambao wanapaswa kupata huduma za kijamii bila ya kubaguliwa.
(Bila tafsiri)
Hariri