Kuunganisha jamii ya viziwi katika nyanja za utamaduni na kuandaa matamasha mbali mbali ya michezo kwa manufaa ya viziwi wa mkoa wa TANGA. – Kuhamashisha jamii ya viziwi kupenda michezo ili wapate kuibua vipaji vyao na kuwa na vijana viziwi wenye ARI ya kushiriki katika michezo mbalimbali. – Kupigania haki na usawa katika michezo na kuondokana na hali ya unyanyapaa katika michezo na kushirikiana na vyama vingine vya michezo ndani na nje ya... | Connecting the deaf community in the fields of culture and organizing various sports festivals for the benefit of the deaf in the Tanga region. – The deaf community Kuhamashisha love games that they might raise their talents and have a young deaf with ARI to participate in various sports. – Fighting for justice and equality in sports and eliminate the stigma in sports and interact with other sports organizations within and outside the... | Edit |