About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/CMT/history
: English
Base
English
Chama cha michezo cha viziwi -Tanga kilianzishwa mwaka 2009 kwa juhudi za viziwi wenyewe baada ya kututoshirikishwa kikamilifu na kutokuwa na chombo cha kuwatetea na kudai haki zao katika sekta ya michezo mbalimbali mkoani Tanga.kwa muda mrefu mkoa wa Tanga umekuwa na wanamichezo viziwi ambao walikuwa katika vilabu mbalimbali lakini uwepo wao na ushiriki wao katika vilabu hivyo ulikuwa haupewi kipaumbele kutokana na wahusika katika vilabu hivyo kutowapa nafasi ya kuonyesha vipaji vyao hivo...
Party games for deaf-Tanga was founded in 2009 through the efforts of the deaf themselves after kututoshirikishwa perfectly with no tool to protect and claim their rights in the sports industry multi region Tanga.kwa long Tanga region has been and sportsmen deaf who were in clubs range but their presence and participation in clubs was not being given due attention to the characters in the clubs so not to give the opportunity to display their talents hivo deaf that will not be successful and...
Edit