Envaya

/CMT/post/121812: English: WIkrVPJbMhcRoJ4JTF6UEWy2:content

Base (Swahili) English

CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI TANGA

                                   (CHAMIVITA)

TANGA ASSOCIATION OF SPORTS  FOR THE DEAF (T.A.S.D)

        S.L.P 5106-TANGATANZANIA,EMAIL: deafssports@yahoo.com

                       

Kumb no. CMVT/TNG/VOL ,12/12                                                       03/05/2012

 

 KWA WADAU WOTE WA WA MICHEZO

 POPOTE TANZANIA.

KK

AFISA UTAMADUNI,

HALMASHURI YA JIJI LA TANGA,

S.L.P 178

TANGA

 Ndugu,

YAH: OMBI LA MSAADA WA  NAULI KWA AJILI YA KUSHIRIKI TAMASHA LA MICHEZO ZANZIBAR.

Somo la hapo juu lahusika sana.

 

Chama cha michezo cha viziwi Tanga-(CHAMIVITA) kinaandika barua hii kwako kwa ajili ya kupatiwa msaada wa Nauli kwa ajili ya kutuwezesha kushiriki TAMASHA LA MICHEZO KWA VIZIWI litakalofanyika Zanzibar mwezi july 23 hadi 6 Agost 2012  mwaka huu.

 

Kwa  sasa CHAMIVITA kipo katika kutafuta na kukuza ARI ya michezo kwa walemavu viziwi wa mkoa wa Tanga, kwa mujibu wa waandaaji wa TAMASHA hilo kwa CHAMIVITA TANGA tunatakiwa kujigharamia kwa mahitaji ya nauli ya kwenda na kurudi Tanga,usafiri wa ndani ya Zanzibar.kwa wachezaji 20 na viongozi 3 Aidha chakula na malazi vitatolewa na wandaaji/wenyeji ZFA na CHAMIVIZA(CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI ZANZIBAR) Mahitaji yetu ni kama ifuatavyo:-

(i)                  Usafiri wa Tanga to Dar es salaam watu 23@11,000x2x23=   Tsh     506,000.00

(ii)                Usafiri wa dar  es salaam to Zanzibar watu 23@20,000x2x23 =Tsh   920,000.00

(iii)              Usafiri wa ndani ya Zanzibar   kwa wiki mbili                             =Tsh 300,000.00  

(iv)                Dharura na matibabu                                                                   =Tsh  200,000;00

                                                       JUMLA                                                          1,926.000,00

 

Kwa mahitaji hayo hapo juu tunaomba muangalie ni jinsi gani mnaweza kutusaidia kadri ya uwezo wako ili tuweze kufanikisha Azma yetu ya kuendeleza michezo kwa walemavu viziwi wa mkoa wa Tanga.

 

Tunatanguliza shukrani za dhati kwako.

 

Wasaalam,

 

 

________________

ALLY NASSORO 

KATIBU MKUU     SIMU +225713 733 114  TUMA SMS TU.

 

________________________________________________________________________

N.B: Endapo msaada wenu utakuwa katika hundi iandikwe: JUMUIYA YA MICHEZO YA VIZIWI TANZANIA A/C NO 41 72 50 87 86 NATIONAL MICROFINANCE BANK(NMB) MADARAKA BRANCH TANGA

CIVIC SPORT TANGA of the Deaf

(CHAMIVITA)

TANGA Association of SPORTS FOR THE DEAF (TASD)

PO Box 5106-TANGATANZANIA, EMAIL: deafssports@yahoo.com

  

Ref no. CMVT / TNG / Vol, 12/12 05/03/2012

 

PARTNERS FOR ALL OF SPORTS

TANZANIA anywhere.

BC

OFFICER CULTURE,

HALMASHURI THE CITY OF TANGA,

PO Box 178

TANGA

Brother,

Re: APPLICATION OF SUPPORT FOR PARTICIPATION fare FESTIVAL OF SPORT ZANZIBAR.

Subject to the above very relevant.

 

Association of the Deaf sports Tanga (CHAMIVITA) kinaandika this letter to you for assistance for the Fare for us to share FESTIVAL OF SPORT IN Deaf to be held in Zanzibar in july 23 2012 to 6 August this year.

 

Currently CHAMIVITA is in finding and promoting sports for disabled ARI deaf to the Tanga region, according to organizers of the festival for CHAMIVITA TANGA we should kujigharamia demand for fares to and from Tanga, transportation within Zanzibar.kwa 20 players and three leaders also will be provided with food and shelter wandaaji / local ZFA and CHAMIVIZA (CIVIC SPORT OF ZANZIBAR Deaf) our requirements are as follows: -

(I) Transportation of Tanga to Dar es Salaam, 23 @ 11 000 x2x23 = Tsh 506,000.00

(Ii) Transportation of Dar es Salaam to Zanzibar 23 @ 20 000 x2x23 = Tsh 920,000.00

(Iii) Transportation in Zanzibar for two weeks = Tsh 300,000.00

(Iv) Emergency treatment = Tsh 200,000: 00

GENERAL 1,926.000,00

 

With the above requirements we ask and see how you can help us best of your ability so that we can achieve our goal of developing sport for disabled deaf in Tanga region.

 

Tunatanguliza sincere thanks to you.

 

Wasaalam,

 

 

________________

ALLY NASSORO

SECRETARY GENERAL +225713 733 114 PHONE ONLY SEND SMS.

 

________________________________________________________________________

NB: If your support will be in checks written: Games for the Deaf Community TANZANIA A / C NO 41 72 50 87 86 National Microfinance Bank (NMB) POWERS BRANCH TANGA


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
May 26, 2012
CIVIC SPORT TANGA of the Deaf – (CHAMIVITA) – TANGA Association of SPORTS FOR THE DEAF (TASD) – PO Box 5106-TANGATANZANIA, EMAIL: deafssports@yahoo.com – Ref no. CMVT / TNG /...