AJIMARO ni jina lenye maana ya Asasi ya jinsia na maendeleo Rombo katika katiba yake AJIMARO imekusudia kuweka usawa wa kijnsia katika vyombo vya maamuzi, – Wengi wa wanawake wametambua haki na nafasi yao ya ushiriki katika vyombo vya maamuzi kwa kupitia mafunzo waliyoyapata . – Mafunzo haya yamewasaidia wanawake kuinua hali zao kwa kuimiza kuingia katika vyombo vya maamuzi ili waweze kupanga,kutekeleza kwa kuzingatia ushirikishwaji wa wanawake na wanaume kwa... | (Bila tafsiri) | Hariri |