Fungua

/Bluestarmedia/projects: Kiswahili

AsiliKiswahili
Kuhusu Asasi – The Blue Star Media ni moja kati ya asasi muhimu sana hapa Tanzania,inakusudia kusaidia jamii za kitanzania pamoja na makundi maalumu kama vile, Yatima, wenye ulemavu wa ngozi (Albinism), wazee pamoja na watoto wa mitaani. Pia dhumuni kubwa la asasi hii ni kuwasaidia wasanii ambao kwa muda mrefu sasa wamekata tamaa katika kukamilisha ndoto zao.(Bila tafsiri)Hariri