Mashamba 5 ya chumvi ya majaribio (4 Pemba, 1 Unguja) yalidhaminiwa na mradi wa uzalishaji chumvi kwa kutumia miunzi ya jua mwaka 1997. Mradi huu wa miaka miwili (1997-1999) uliofadhiliwa na UNDP kwa mtazamo wa kupunguza umasikini ulilenga kuanzisha fursa za kujiajiri kwa makundi ya vijana na wanawake. Moja kati ya majukumu makuu ya mradi ilikuwa ni kuhakikisha kuwepo kwa chombo kitakachoweza kuendeleza juhudi hizo baada ya mradi kumalizika. AZASPO iliundwa na waanzilishi (waliokuwemo ndani ya... | (Bila tafsiri) | Hariri |