Vijana kutoka katika kata mbali mbali ndani ya Manispaa ya Tabora, wakijadili mada zinazowezeshwa na EWURA CCC/ WORLD BANK. Mijadala hiyo ni juu ya masuala ya Maji safi na taka, Nishati ya Mafuta, Gesi na Umeme.