Dira – Kujenga jamii endelevu yenye mtazamo chanya juu ya maendeleo ya Taifa kwa ujumla. – Dhamira – Kuwawezesha watanzania hasa vijana kuwa na dira chanya ya kujitegemea wenyewe.
Kuijengea jamii uwezo wa kuzitambua na changamoto mabalimbali za maendeleo na kupambana nazo.
Kuijengea jamii misingi... | (Not translated) | Hindura |