Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/auvitatz/post/6
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Nikweli hatunabudi kuyalinda mazingira yetu kwa uhai wetu na maendeleo ya taifa.
(Bila tafsiri)
Hariri
TUNAIENZIJE SIKU YA MAZINGIRA? (image) Umepanda mti leo? – Leo ni siku ya mazingira duniani ambayo inatukumbusha kuwa uhai wetu inalindwa na mazingira yetu, hivyo tukiwa kama wadau katika sekta ya mazingira tunawakalibisha wadua na wahifadhi mazingira ili kuu tetea uhai wetu kwani kuishi kwetu kunategemea mazingira yetu. – Nikweli kabisa kuwa hatunabudi kuyalinda na kuyahifadhi mazingira yetu na...
(Bila tafsiri)
Hariri