Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Dira Theatre imeshatekeleza miradi ifuatayo;- UTAWALA BORA KWA VIONGOZI WA VIJIJI 2009/10 katika tarafa ya Mamboya, wilaya ya Kilosa na vijiji vyote vya wilaya ya Gairo, mkoani Morogoro. UTEKELEZAJI WA SERA NA SHERIA ZA ARDHI VIJIJINI 2010/15 katika kata za Maguha, Magubike, Mamboya, Rudewa, Kimamba na Chanzuru wilayani Kilosa na kata za Gairo, Msingisi, Rubeho, Kibedya, Chakwale, Iyogwe wilayani Gairo.
|
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe