Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Kupambana na umasikini kwa kujengauwezo kwa makundi ya watu wasio jiweza hususan vijana wanawake na watoto, kutoa elimu dhidiya maambukizi ya VVU na UKIMWI na kupunguza wimbi la ongezeko la watoto wa mitaani pamoja na kupambana na utumiaji wa madawa ya kulevya hasa kwa vijana. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe