Envaya
/guluka/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Tunatarajia kuanza mradi wa kutengeneza tray za mayai na mapambo kwa kutumia taka ngumu kama karatasi, maboksi, mradi utafadhiliwa na sustainable city Africa utafanyika mtaa wa guluka kwalala kata ya ukonga.
(Bila tafsiri)
Hariri
Kwa sasa Guluka Kwalala Youth Environment Group tunajishughulisha na ufundishaji wa Kuimarisha Utawala Bora katika Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani. Katika mradi Uitwao Kuimarisha Utawala Bora katika mfuko wa Uadilifu, Uwajibikaji na Uwazi. Kwa ufadhili wa Sekretariet ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mkuu wa Wilaya Kisarawe akifungua Mafunzo ya Kuimarisha maadili katika utumishi wa umma
(Bila tafsiri)
Hariri