JUKWAA LA WAPAMBANAJI VVU/UKIMWI KATIKA MANISPAA YA ARUSHA: Jukwaa ni nini? ni mkusanyiko wa naharakati kutoka eneo moja wenye lengo linalofanana na kusudio moja kufuatilia matokeo yaliyokubaliwa kwa pamoja hivyo;jukwaa hili ni chanzo cha kuandaa mikakati ya kufikisha malengo ya kikundi. MAANA YA WAPAMBANAJI: Ni wanaharakati ambao wanahitaji kukabiliana na vikwazo mbalimbali ili kufikia hatua au mipango waliojipangia. vikwazo hivyo vyaweza kuwa unyanyapaa,mila na desturi... | (Not translated) | Hindura |