Envaya

/esupat/news: English

BaseEnglish
JUKWAA LA WAPAMBANAJI VVU/UKIMWI KATIKA MANISPAA YA ARUSHA: Jukwaa ni nini? ni mkusanyiko wa naharakati kutoka eneo moja wenye lengo linalofanana na kusudio moja kufuatilia matokeo yaliyokubaliwa kwa pamoja hivyo;jukwaa hili ni chanzo cha kuandaa mikakati ya kufikisha malengo ya kikundi. MAANA YA WAPAMBANAJI: Ni wanaharakati ambao wanahitaji kukabiliana na vikwazo mbalimbali ili kufikia hatua au mipango waliojipangia. vikwazo hivyo vyaweza kuwa unyanyapaa,mila na desturi...Militant FORUM HIV / AIDS IN THE MUNICIPALITIES OF ARUSHA: The forum is? is a collection of activism from the same area with similar purpose and one purpose to monitor the results agreed with it, this forum is a source of developing strategies to convey the goals of the group. MEANING OF militant: It is the activists who need to deal with various obstacles to reach the planning stage or make. sanctions may be stigma, traditions and customs that contribute to the spread of HIV /...Edit
Kwa nini mradihuu unahitajika?Kwenyemradi wetu uliopita katika kata mbili za manispaa ya Arusha yaani unga ltd na sokon 1 tuligundua watu hawakujitokeza kupima VVU/UKIMWI Katika vituo mbalimbali ndani ya manispaa kutokana nauelewa mdogo na kutojua umuhimu au faida ya kupima na kujitambua. Kwa sababu hii inachangia maambukizi kuendelea kuongzeka kila mwaka badala ya kupungua watu wengi wanafanya ngono pasipo kutumia kinga. Pamoja na usambazaji na upatikanaji wa...Why mradihuu you need? Kwenyemradi our last in the county two municipalities of Uttar Pradesh namely flour ltd and sokon one we found people did not appear to measure HIV / AIDS in different centers within the municipality for understanding young and ignorant of the importance or benefits of testing and identification. For this reason continuous transmission contributes still be increased each year instead of declining many people have sex without using protection....Edit