Asasi ya Amua imeandaa mafunzo ya siku 30 kwa walimu wa kisomo cha watu wazima(wazee). Lengo ni kupata waalimu watakaowafundisha wazee Kusoma, kuandika na kuhesabu. Mafunzo hayo yataendeshwa na wakufunzi toka shirika la Amua lenyewe wakiongozwa na Mratibu wa mafunzo ni Bi Kate Mwembere na yataanza tarehe 15 Julai 2017. Wahitaji wa mafunzo hayo wameanza kuandikishwa. | (Not translated) | Hindura |