kuwekeza kwenye haki za watoto ni msimgi wa taifa lolote ulimwenguni.........wazazi na serikali wanawajibu wa kuzitambua, kuzitunza haki za watoto na kuhakikisha vitendo vyote vinavyo kwenda kinyume na maslahi na haki za watoto vinakomeshwa na kutokomezwa | (Bila tafsiri) | Hariri |