Base (Igiswayire) | Kinyarwanda | ||
---|---|---|---|
MKUU WA SHULE UMOJA WA WAZAZI TANZANIA SHULE YA SEKONDARI NA UFUNDI BOZA (BOZA SECONDARY AND VOCATIONAL SCHOOL) S.L.P. 87,PANGANI-TANGA Email:bozasecondary@yahoo.com simu na:0713-935 335 0784 539 141 MAHALI SHULE ILIPO Shule ya sekondari na ufundi Boza ilianzishwa mwaka 1977. Shule hii ipo mkoa wa Tanga,wilaya ya Pangani, kijiji cha Boza. Kutoka Tanga mjini au Pangani mjini shuka kibaoni Boza njia panda ya Muheza,kasha fuata barabara ya Muheza mwendo wa km 1 utaona kibao cha kuingia shuleni mkono wa kushoto.Ukitokea Muheza unashuka kwenye kibao cha kuingilia shuleni. Shule ipo kandokando ya Bahari ya Hindi.
HISTORY, CIVICS,GEOGRAPHY, KISWAHILI, ENGLISH, CHEMISTRY, BIOLOGY, na BASIC MATHEMATICS
KARIBUNI WOTE BOZA SEKONDARI. TANGAZO TANGAZO TANGAZO MKUU WA SHULE YA SEKONDARI NA MAFUNZO YA UFUNDI BOZA, ANAWATANGAZIA WAZAZI,WALEZI NA WANAFUNZI WALIOMALIZA DARASA LA SABA KUWA;
(RESEATERS). MASOMO YANAYOFUNDISHWA BOZA SEKONDARI NI; CIVICS,HISTORY,GEOGRAPHY,KISWAHILI,ENGLISH,CHEMISTRY,PHYSICS,BIOLOGY NA BASIC MATHEMATICS. MASOMO YA UFUNDI YANAYOFUNDISHWA BOZA SEKONDARI NI: USEREMALA,BOMBA NA UASHI.MWANAFUNZI ANAYESOMA MASOMO YA UFUNDI ATAKAPOHITIMU KIDATO CHA NNE ATATUNUKIWA CHETI CHA UFUNDI VETA.
FOMU ZA KUJIUNGA NA BOZA SEKONDARI ZINAPATIKANA ; 1.SHULENI BOZA SEKONDARI 2.OFISI ZA JUMUIYA YA WAZAZI PANGANI,NA MKOANI TANGA 3.MWENYEKITI WA BODI YA SHULE – MOB: 0713 935 335, 0784 539 141. KWA MAWASILIANO Mpigie mwenyekiti wa Bodi WOTE MNAKARIBISHWA BOZA SEKONDARI |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe