Envaya
/dhahabu/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
(image)
(image)
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
(image) – Hussein Wamaywa Katibu Mtendaji - Dhahabu Group
(Bila tafsiri)
Hariri
Dhahabu Arts Group ni taasisi ya kijamii isiyolenga kupata faida binafsi yenye lengo la kuona siku moja jamii ya kitanzania inakuwa bora katika sekta za Afya, Elimu, Uchumi na Utamaduni. – Ili kutimiza malengo haya, Dhahabu hufanya kazi na wabia mbalimbali wa ndani na nje ya nchi. Kwa sasa inafanya kazi zaidi na The Foundation for Civil Society. ...
(Bila tafsiri)
Hariri