Envaya
/dhulusportsclub/post/5
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Tulikuwa kiofisi shule ya Buhongwa....Vijana walikuwa wasikivu hivyo tulifanya semina kwa utulivu....Natumaini tutafika tunapoelekea...wadau tushirikiane tuwasaidie vijana tuisaidie Tanzania.....
(Bila tafsiri)
Hariri
inapendeza sn mwenyekiti. kaza buti, tuko pamoja
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Viongozi wa Dhulu Sports Club wakitoa semina ya michezo na afya mbele ya wanafunzi wa sekondari ya Buhongwa iliyopo jijini mwanza...
(Bila tafsiri)
Hariri