Envaya
/gnp/post/8763
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Tunaomba ENVAYA waendelee kutoa fursa kwa NGO nyingi zaidi kujiunga katika website hii.
(Bila tafsiri)
Hariri
Shirika la ENVAYA linajitahidi lakini naomba isiwe nguvu ya soda mhamasishe zaidi hizi NGO ili ziweze kusambaa ikiwezekana zifike hadi kijijini ili kukwamua maisha ya watanzania waishio vijijini.
(Bila tafsiri)
Hariri
Mtandao wetu umejiunga rasmi na ENVAYA. Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa ENVAYA.
(Bila tafsiri)
Hariri