Community Organization for Life and Development "COLD" imeshiriki kikamilifu katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika ambayo yameadhimishwa kimkoa katika kata ya Bugarama wilaya ya Kahama, ambapo mgeni rasmi amekuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Brigedia Jenerali mstaafu, Dk. Yohana Balele. COLD imetoa msaada wa sare za shule na madaftari hamsini na tano kwa watoto yatima wanaoishi katika mazingira magumu kumi na mmoja, wavulana watano na wasichana sita wanaosoma katika shule ya msingi... | Community Organization for Life and Development "Cold" actively participated in the celebration of Day of the African child that the county's regional yameadhimishwa Bugarama Kahama district, where he was chief guest of the Shinyanga region of retired Brigadier General, Dr. John Balele. Cold has the support of school uniforms and books for fifty-five orphaned children living in difficult circumstances, eleven, five boys and six girls studying in primary school Bugarama which are given by the... | Edit |