Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Mgeni rasmi, afisa maendeleo ya jamii kata ya Bugarama bi Anna Mwakalinga akiwahutubia wanachama, walezi na watoto walio katika mazingira magumu siku ya uzinduzi wa mradi wa TEGEMEZA. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe