Kupitia mradi wake wa 'TEGEMEZA' inaendesha kampeni juu ya kujikinga na maambukizi ya VVU/UKIMWI, katika programu hii COLD imedhamiria kueneza ufahamu wa jinsi ya kujikinga ili kupunguza maambukizi mapya nchini Tanzania. Mpango huu unalenga kuondoa imani potofu kuhusu VVU/UKIMWI na kuhakikisha kuwa jamii ina habari sahihi zitakazowasaidia kufanya maamuzi sahihi. Mpango huu umekusudia:- 1. Kuhamasisha jamii kufikiri kuhusu mapenzi na kuwaruhusu kutathmini madhara yatokanayo na aina yoyote ya... | (Bila tafsiri) | Hariri |