Envaya
/cold/post/108992
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Kazi nzuri sana ya kutengeneza jiko la ajabu ili kumpunguzia mwanamke mzigo mzito na mkubwa ambao mwamke hubeba kila siku. Tunawaunga mkono na kazi yenu hiyo nzuri.
(Bila tafsiri)
Hariri
Taarifa
Taarifa
Hariri
Asasi ya kijamii "COLD" limeadhimisha siku ya mwanamke kwa kutoa mafunzo ya namna ya kutengeneza jiko la maajabu kwa wanawake wa kikundi cha Mwamko wa kata ya Igoma, jijini Mwanza. Jiko hili hutumia kuni au mkaa kidogo sana Lengo la mafunzo hayo ni kupunguza mzigo kwa wanawake waliokuwa wakilazimika kutumia muda mwingi kutafuta kuni milimani. Mafunzo hayo yameendeshwa na raisi ambaye pia ni afisa mtendaji mkuu wa asasi hii bwana Kisumva Mathew Maziku. Wakati hayo yakiendelea Mwanza, huko Dar,...
(Bila tafsiri)
Hariri