Log in

/chavitakondoa/post/89564: English

BaseEnglish
WANAKWETU NIAJE? NIMEONA MAMBO YENU. ILA FANYENI KILA LIWEZEKANALO KUBORESHA HII WEB(Not translated)Edit
Vizuri sana.me Naitwa JUVENILE nipo mosh na pia ninauwezo wa kuwatafsiria viziw alama na vitendo vyao vizur kama kuwatafsiria nyimbo na pia matangazo na semina.naomben msaada wa kupata nafasi ya ukalimani naamin naweza.number zangu ni 0655249120(Not translated)Edit
Kuna changamoto kubwa katika kundi letu la Viziwi kutokutambulika hata Vijijini kutokujua hasa umuhimu wa watoto Viziwi kwenda kupata elimu ya awali,msingi na sekondari na hata Ufundi. (image) Na changamoto zingine Viziwi wanatakiwa kuwezeshwa ili wafikie malengo yao ya milenia mpya (image) Viziwi wengi tuko nyuma kimaendeleo lisha ya kuwa na elimu nzuri,fani ya ufundi bado hatujaona mafanikio ama maendeleo kutokana na Vikwazo...There are great challenges in our group of Deaf kutokutambulika even knowing exactly Rural Deaf children need to go to pre-primary, primary and secondary and Vocational. (image) Other challenges Deaf people should be enabled to achieve their goals for the new millennium (image) Deaf majority are behind progressive feeding of a good education, arts, crafts we have yet to see progress or development due to restrictions we find in...Edit