Log in

/chavitakondoa/post/89564: English: WI000DA3063C57E000089564:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) English

Kuna changamoto kubwa katika kundi letu la Viziwi kutokutambulika hata Vijijini kutokujua hasa umuhimu wa watoto Viziwi kwenda kupata elimu ya awali,msingi na sekondari na hata Ufundi.Na changamoto zingine Viziwi wanatakiwa kuwezeshwa ili wafikie malengo yao ya milenia mpyaViziwi wengi tuko nyuma kimaendeleo lisha ya kuwa na elimu nzuri,fani ya ufundi bado hatujaona mafanikio ama maendeleo kutokana na Vikwazo tunazopata kwenye Taasisi nyingi wanaona Viziwi hawana jinsi yoyote ya kufanya kutokana na Ulemavu wao,Ulemavu sio kikwazo cha kushindwa kufanya kazi bali wawezeshwe wataweza.

There are great challenges in our group of Deaf kutokutambulika even knowing exactly Rural Deaf children need to go to pre-primary, primary and secondary and Vocational. Other challenges Deaf people should be enabled to achieve their goals for the new millennium Deaf majority are behind progressive feeding of a good education, arts, crafts we have yet to see progress or development due to restrictions we find in many organizations feel the Deaf have no way make any due to their handicap, disability is not a barrier to work, but they should be able to.


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
October 2, 2012
There are great challenges in our group of Deaf kutokutambulika even knowing exactly Rural Deaf children need to go to pre-primary, primary and secondary and Vocational. (image) Other challenges Deaf people should be enabled to achieve their goals for the new millennium (image) Deaf majority are behind progressive feeding of a good education, arts, crafts we have yet to see progress or development due to restrictions we find in...