MALENGO YA CHAVITA – Kama wanajamii, viziwi wanayo haki ya kuchangamana na watu wengine na kushirikishwa kikamilifu katika shughuli za jamii. Hii ni haki ya msingi ya binadamu. CHAVITA itahakikisha hili kwa: – Kuhamasisha matawi ya CHAVITA na jamii ya Viziwi popote walipo hapaTanzania,... | (Not translated) | Edit |