Kuona jamii ya watoto wa Rufiji inapata elimu na afya njema, kwa kuwaandikisha katika shule yetu ya Utete Kindergarten. Pia kuwapa vijana elimu ya stadi za maisha pamoja na kuwawezesha watu waishio na virusi vya ukimwi kwa kuunda vikundi ili waweze kusaidiwa kwa pamoja. | (Not translated) | Hindura |