Fungua

/cmt: Kiswahili: WI0002FF9B84613000111694:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) Kiswahili

Kuunganisha jamii ya viziwi katika nyanja za utamaduni na kuandaa matamasha mbali mbali ya michezo kwa manufaa ya viziwi wa mkoa wa TANGA.

Kuhamashisha jamii ya viziwi kupenda michezo ili wapate kuibua vipaji vyao na kuwa na vijana viziwi wenye ARI ya kushiriki katika michezo mbalimbali.

Kupigania haki na usawa katika michezo na kuondokana na hali ya unyanyapaa katika michezo na kushirikiana na vyama vingine vya michezo ndani na nje ya nchi.

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe