Charity Roving Organization ni shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na maendeleo ya jamii kwa ujumla,kifupi chake ni CHARIOT. Makao makuu ya shirika hili yapo katika kijiji cha Itete Kabembe katika wilaya Rungwe mkoa wa Mbeya nchini Tanzania. Kipaumbele cha shirika hili ni kuwasaidia watoto wanaosoma na wasiosoma. Pia shirika lina malengo mengine kama ifuatavyo; – Kuondoa umaskini na ujinga kwenye jamii. Kuhakikisha rasilimali... | (Bila tafsiri) | Hariri |