(image) Mkurugenzi mtendaji wa shirika la African Heritage Foundation nchini TANZANIA ndugu Albert T.Msafiri anatoa wito kwa vijana kuunga mkono shirika hilo katika jitihada zake za kutokomeza ujinga kwa kujitolea kufundisha katika shule za kata chini ambazo zina matatizo makubwa ya walimu. Albert aliendelea kusema kuwa shule za kata ni maeneo ya vijijini hayana walimu kabisa alitolea mfano wa shule ya secondari ya Chetu iliyoko Wilaya ya Urambo mkoani Tabora ambayo... | (Not translated) | Hindura |