Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/fawopa-mtwara
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
FAWOPA imejikita katika kuelimisha jamii, kutoa elimu ya stadi za maisha kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, kutoa elimu ya Afya kwa jamii, na elimu ya mazingira pia tunatoa huduma kwa watoto waishio katika mazingira hatarishi zaidi kwa kuwapa huduma za muhimu zinazohitajika shuleni, kama vile sare za shule, ada za shule daftari na mahitaji mengineyo ya msingi
(Bila tafsiri)
Hariri