Fungua

/bakwatagr/post/8: Kiswahili

AsiliKiswahili
Mwenyekiti wa Halmashauri Wilaya BAKWATA Gairo amefariki leo majira ya saa 4 asubuhi. Kwa taarifa ya kifo chake mwenyekiti huyo bwana Sheikh Ramadhan Makame amepatwa na umauti baada ya kusumbuliwa muda mrefu na tatizo la upungufu wa damu, mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho saa 7 baada ya swala ya Adhuhuri. INNA LILLAH WA INNA ILAIH RAAJIUN(Bila tafsiri)Hariri