About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/bakwatagr/post/13
: English
Base
English
(image) ISLAMIC FUNDATION WAKABIDHI MSIKITI BAKWATA – Mwenyekiti wa tasisi ya The Islamic Foundation amekabidhi msikiti wa vibandani Morogoro Mjini. Makabidhiano hayo yalifanyika baada ya kukamilika kwa ujenzi huo na kufanyika ufunguzi rasmi wa msikiti huo uliopewa jina la Masjid Madina. akiongea mara baada ya ufunguzi huo Mwenyekiti wa Islamic Fondation aliwahusia Waislam kutumia vizuri msikiti huo ili iwe sababu ya wao kuingia peponi...
(Not translated)
Edit