Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/bakwatagr/post/11
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
TAARIFA KWA WAISLAM WOTE – BAKWATA GAIRO, Tunapenda kwataarifu waislam wote ndani na nje ya nchi kuwa tumeanzisha ujenzi wa shule ya kiislam katika eneo la Chakwale, ujenzi unategemea nguvu za waislam mbalimbali, wafadhiri, kutoka ndani na nje ya nchi ili kufanikisha ujenzi huo. wewe kama Muislam unajua mtu au kampuni au taasisi yoyote yenye kuweza kutusaidia kufanikisha ujenzi huu tafadhali tupe taarifa tuwasiliane nao kwa maendeleo ya...
(Bila tafsiri)
Hariri