Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/bakwatagr/post/6
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
TARIFA KWA WAISLAM WILAYANI GAIRO – BAKWATA wilaya ya gairo tunawatangazia waislam wote wilayani Gairo na maeneo ya jirani kuwa sherehe za Maulid ya Mtume (s.a.w) zita fanyika kiwilya Gairo mjini kwenye msikiti wa wilaya (Masjid Rahmaan) uliyopo Unguu Road. Akitoa taarifa hiyo Sheikh wa wilaya amesema, maadhimisho hayo yatafnyika siku ya ijumaa mwezi 29 mf 6 sawa na tarehe 31/01/2014. Maulid hayo yatatanguliwa na maulid ya kinamama baada ya swala ya...
(Bila tafsiri)
Hariri