Fungua

/ebenezer-vision/home: Kiswahili: WIJdtqTJgAVnrKf6mAToFAmr:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) Kiswahili

-Kuhamasisha maendeleo ya vijana na wananchi juu ya mabadiliko ya kitabia-katika Elimu rika

-Kuhamasisha jamii kupambana na magonjwa ya  kuambukizwa na kushauri jamii kisaikolojia(moral counselling).

-Kuhimiza elimu ya ujasiliamali kwa vijana pamoja na wanawake.

-Kuhimiza miradi ya kuanzisha kipato

-Kuhimiza maswala ya kiroho katika jamii

-Kuanzisha vituo vya watoto wadogo -nursery na awali.

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe