SHERIA YETU – Misingi Mikuu ya Sheria za Ardhi – Sheria ya Ardhi na Sheria ya Ardhi Vijijini zimeorodhesha misingi mikuu ya ardhi kama ilivyobainishwa chini ya Sera ya Ardhi ya Taifa 1995. Baadhi ya misingi hiyo ni:- – Ardhi ni mali ya umma na imekabidhiwa kwa Rais kama mdhamini kwa niaba ya raia wote.
Raia wote wanawake na wanaume wana haki sawa ya kupata,... | (Not translated) | Edit |