Moja ya nguzo kuu ya Utawala Bora katika Asasi za Kiraia ni kuwa na kanuni zinazoongoza masuala ya fedha,mipaka ya kila kiongozi na wanachama, mali watu, manunuzi nk. Uwepo na matumizi thabiti wa nguzo hii muhimu sana ni KIVUTIO kikubwa sana kinachomvuta au kushawishi WANACHAMA, WADAU,WAFADHILI NA SERIKALI kuziamini asasi za kiraia. Kinyume chake Asasi hukosa kuaminiwa. Tufanyaje sasa? | (Not translated) | Hindura |